Natafuta kazi Kama nilizozitaja hapo juu,ni mvulana mfupi kiasi umri miaka 21 elimu form 4,najua kuongea kingereza kwa ufasaha,muaminifu na mtiifu na nipo tayar kufanya kaz mahali popote.Kama utakua unahitaj tuwasiliane kupitia no 0653957095 au email ally.saidy@yahoo.com,asanten sana!
unajua kupika mapishi mangapi ya kitimoto?
Kweli nimeamin sio kwenu tu hata kwenye mtandao wapo,asanten washkaji kwa mchango wenu kaz ni kaz mwanaume kazini nyie mliokalia viti ofisin fanyen kaz tena kwa bidii na cc wapish,magardner,wafagia barabara,walinzi na mahouse boy tuacheni,narudia tena asanten kwa mchango wenu!

wenye dharau na nyodo hata kwe2 wapo. Achana nae bro siajabu ye mwenyewe mfagia choo.
wenye dharau na nyodo hata kwe2 wapo. Achana nae bro siajabu ye mwenyewe mfagia choo.
mbona unamshusha cheo chake? Mikela hasafishi vyoo, yeye ni mtaalam wa kuzibua vyoo, na kwa utaalam wake huo havai gloves afanyapo kazi, na anakula bila kunawa na hadhuriki[/QUOTE.
Mi sina cha kusema ila ndo hivyo jaman dharau kila mtu anayo ila c kwenye mambo Kama haya, japo umeweka utan lakin nashkur kwa mchango wako ndugu!
Naheshim mawazo yako ndugu BUBE na upo sahihi kabisa ila Kama hiyo ya barabarani pia unayo unaweza ukanipatia, nashkur kwa fikra zako zinazoambatana na ukweli na Asante sana ndugu!Mkuu INKOSKAZ,nachelea kukupatia kazi hizo, najua nikikuacha nyumbani, NIMEUMIA TAYARI. Avatar yako, inaonesha unaweza kupiga kazi nyingine barabarani au ofisini, lakini nyumbani, lool, nachelea!
Chuo kikuu kipi? Havard, Oxford, Dsm, Tumaini, Sokoine, Nairobi au Cha ushirika Moshi?Acha hizo wewe! Naomba jumatatu njoo pale chuo kikuu ulizia meneja wa Canteen za chuo utapata kazi kuna nafasi za wahudumu pale wanalipa vizuri itakusaidia
Chuo kikuu kipi? Havard, Oxford, Dsm, Tumaini, Sokoine, Nairobi au Cha ushirika Moshi?