Gareth Bale Akinukisha Kwa Ronaldo na Mashabiki

Gareth Bale Akinukisha Kwa Ronaldo na Mashabiki

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Bale was jeered by some home supporters in the second half for failing to find Ronaldo with a pass

Read more: Real Madrid 3-0 Espanyol: Gareth Bale stars to get 10-men Los Blancos back in business... but still gets stick from fans | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
24910CCC00000578-2904657-image-a-43_1420909100722.jpg
 
Ronaldo alicuckia kiasi kwamba hata Bale alipofunga hakumpongeza

2490AD5500000578-2904657-Gareth_Bale_3rd_right_is_congratulated_by_his_Real_Madrid_team_m-a-63_1420909685944.jpg
 
'Penaldo' ni mchezaji mbinafsi sana pamoja na mafanikio binafsi aliyonayo...
 
Mazingira ya kupiga pasi yalikuwa magumu sana-Anceloti
 
Huna unachokijua kwny soccer na humjui vizuri mchezaji ghali duniani (Gareth Bale)
shida ya wabishi ni kutaka kubisha tu, read between the line utanielewa, hapo siongelei mchezaji ghali mkuu.......
 
Bale ni mbavu za mbwa huwa najiuliza Bale na Silva wa man city wakikutana kwenye timu moja pale mbele si itakuwa balaa
 
Nafikiri ronaldo alichukizwa zaidi na ile free kick alopiga bale kifundi na kufunga bao la pili.
 
Baadhi ya waandishi ni machakubimbi, wanaongeza chumvi ili kugawanya mashabiki wakati hali ndani ya klabu ni tofauti sana. Ni sawa mwandishi mmoja kutoka Catalonia alivyoandika habari za uzushi kuhusu Ronaldo juu ya Messi, alipoambiwa atoe uthibitisho akawa anajing'ata tu. Ni hawa hawa waandishi wa Uingereza waliokuwa wanaeneza habari karibu kwa miezi 3 kuwa Gareth Bale anakwenda EPL. Frolentino Pérez alipotoa kauli kuwa Bale is not for sale limewashuka na sasa hivi wameamua kuandika kwa kueneza chuki, hii sio RESPECT kama inavyotangazwa kwenye michezo kila siku.

Niliona ile free kick aliyopiga Bale. Wakati anajiandaa kupiga Ronaldo alikuwa at the same point na walishauriana kitu kabla ya kuamua nani apige. Kwa wasiofahamu kwanini ilikuwa Bale apige pale, ni kwasababu ni mpira wa adhabu kutoka upande wa kulia. Kama ingekuwa kushoto labda hata James angepiga vile vile, na mipira ya adhabu kutoka katikati anaachiwa Ronaldo.
Waandishi wanaonyesha kama Ronaldo au mashabiki wako against na Bale wakati si kweli. Bale ni mchezaji wa Real anayelipwa pesa nyingi kwasababu ni kiungo anayetegemewa sana kwenye squad, kwahiyo kufanya vitu kama vile ndio ndio jambo linalotarajiwa na kila mtu pale Bernabeu.

Anyway, mchezaji anapofanya mistake uwanjani ni kawaida ya mashabiki kuongea au kulaumu, sio Bale tu, Sergio Ramos anapigiwa makelele mpaka kesho ndio kiini cha Real Madrid kupoteza mechi against Atletico Madrid.
Waandishi wa Uingereza wamezoea uzushi, wameongopa kuhusu habari za usajili wameshindwa sasa wanakuja kivingine, wanatakiwa waache chuki na uchonganishi, kama wanataka Bale arudi EPL hayo ni mambo ya kimaslahi siyo majungu.
‪#‎HalaMadrid‬
 
Back
Top Bottom