L Liverpool2005 Member Joined Jul 20, 2011 Posts 43 Reaction score 39 May 12, 2017 #1 Gari nzuri aina ya Mitsubishi Canter ambayo inafaa kwa shughuli za kubebea mizigo isiyozidi tani 2 inauzwa. Baadhi ya watu hutumia gari kubebea mizigo hasa maeneo ya kariakoo. Gari hii nimeiagiza kutoka Japan siku za hivi karibuni takribani mwezi mmoja uliopita. DETAILS ZA GARI: JINA: Mitsubishi Canter TANI: Ina uwezo wa kubeba mzigo tani 2. MILEAGE: Kilomita 68,000 MWAKA: Ni ya mwaka 1998. CC: Ina cc 2,700. BEI/PRICE: Milioni 20(Mazungumzo yapo) Kwa maongezi zaidi napatikana kwenye hii namba; +255 625 569 109
Gari nzuri aina ya Mitsubishi Canter ambayo inafaa kwa shughuli za kubebea mizigo isiyozidi tani 2 inauzwa. Baadhi ya watu hutumia gari kubebea mizigo hasa maeneo ya kariakoo. Gari hii nimeiagiza kutoka Japan siku za hivi karibuni takribani mwezi mmoja uliopita. DETAILS ZA GARI: JINA: Mitsubishi Canter TANI: Ina uwezo wa kubeba mzigo tani 2. MILEAGE: Kilomita 68,000 MWAKA: Ni ya mwaka 1998. CC: Ina cc 2,700. BEI/PRICE: Milioni 20(Mazungumzo yapo) Kwa maongezi zaidi napatikana kwenye hii namba; +255 625 569 109
mwenda wazimu JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 819 Reaction score 1,280 May 12, 2017 #2 WEKA PICHA NA BEI KAMA UNATAKA KUFANYA BIASHARA
L Liverpool2005 Member Joined Jul 20, 2011 Posts 43 Reaction score 39 May 12, 2017 Thread starter #3 mwenda wazimu said: WEKA PICHA NA BEI KAMA UNATAKA KUFANYA BIASHARA Click to expand... Nimeshaweka mkuu, nilisahau
mwenda wazimu said: WEKA PICHA NA BEI KAMA UNATAKA KUFANYA BIASHARA Click to expand... Nimeshaweka mkuu, nilisahau
mwenda wazimu JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 819 Reaction score 1,280 May 12, 2017 #4 ysylvester said: Nimeshaweka mkuu, nilisahau Click to expand... Hapo sawa subiri wenye mipango waje
Majimoto Senior Member Joined Nov 22, 2007 Posts 138 Reaction score 146 May 12, 2017 #5 Kodi zimelipwa
M Mkwaruu JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,929 Reaction score 1,707 May 13, 2017 #6 Bei mku