Car4Sale Gari aina Canter inauzwa, iko kwenye hali nzuri ina mwezi 1 tangu ifike kutoka Japan

Liverpool2005

Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
43
Reaction score
39
Gari nzuri aina ya Mitsubishi Canter ambayo inafaa kwa shughuli za kubebea mizigo isiyozidi tani 2 inauzwa.

Baadhi ya watu hutumia gari kubebea mizigo hasa maeneo ya kariakoo.

Gari hii nimeiagiza kutoka Japan siku za hivi karibuni takribani mwezi mmoja uliopita.


DETAILS ZA GARI:

JINA: Mitsubishi Canter

TANI: Ina uwezo wa kubeba mzigo tani 2.

MILEAGE: Kilomita 68,000

MWAKA: Ni ya mwaka 1998.

CC: Ina cc 2,700.

BEI/PRICE: Milioni 20(Mazungumzo yapo)

Kwa maongezi zaidi napatikana kwenye hii namba; +255 625 569 109
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…