Gari aina moja, majina tofauti, nini athari zake?

Kasome BRANDING kwa undani zaidi utaelewa
Ndugu, kwa uandishi huu hatuwezi kusogea popote kama great thinkers! Ungefafanua branding ni nini na inafanyaje kazi katika muktadha tajwa hapo juu. Sio kila mtu kasomea biashara!
 

Lexus
 
Nchini ulaya na marekani huwa wanatoa masharti ya magari ya kutoka nje kama japan na korea kuwa specification fulani kuingizwa kwao--body ya gari ngumu au laini, engine size na seat capacity.
Mi nafkiri ndio wanabadilisha jina ili isiingiliane na hizi zinazoletwa huku
 
Suala la mwisho ni wizi wa teknolojia. Ukiangalia malori ya FAW (new model) ni sawia kabisa na Mitsubishi Fuso (model ya zamani, zilizotoka 1989 na 1990). Yaani ni copy and paste. 'Inasemekana' Mchina ali hack servers za Mitsubishi na kuiba michoro. Hizo ni hearsays ambazo unapaswa kuzipotezea.....

Hapa umeandika kitu ambacho si kweli. sijapenda kusema uongo. ila si kweli. haya magari ni tofaut kabisa. tena tofaut kubwa sana. yaani waibe michoro ya miaka ya 1990 waje watumie leo? ndugu yangu usisahau na sisi wenye uelewa tumo humu. kuna story za kupigia vijiweni na story za ukweli ukweli. tenganisha please.

 
Mh! Kumbe uzi uliendelea endela bila mie kujua! Tena na nondo kali kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…