conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
Husika na mada
Naomba kujua gari aina ya bjc bj212 wengine wanaziita baw 212 je zinaingiliana vipuli na aina gani za gari za kijapan hasa injini na gia box.
Asante