C conservative3 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 1,129 Reaction score 790 Feb 22, 2019 #1 Husika na mada Naomba kujua gari aina ya bjc bj212 wengine wanaziita baw 212 je zinaingiliana vipuli na aina gani za gari za kijapan hasa injini na gia box. Asante
Husika na mada Naomba kujua gari aina ya bjc bj212 wengine wanaziita baw 212 je zinaingiliana vipuli na aina gani za gari za kijapan hasa injini na gia box. Asante
Nyoka mwenye makengeza JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 870 Reaction score 776 Feb 22, 2019 #2 inaingiliana mkuu. Nunua tu. [emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums