Gari aina ya Celica inasha maji ukiendesha na hata ukiipaki

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
288
Reaction score
128
Habarini za majukumu ninagari aina ya Toyota Celica ilikua inasumbu kabla tatizo la kuchemsha Nika badili injini.

Ila toka nimefunga mpya maji hayakai kwenye chupa kidogo Cha maji Ila haichemshi.

Na hata nikijaza ukalala asubui sikuti maji naomba msaada.
 
Gari ichemshe ubadili engine?

Au ilikuwa na tatizo la ziada?
 
Ungebadili Kifuniko Cha Rejeta Kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…