IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Labda uniuzie kama scrapper Tsh 500/kg. Niko hapa jet lumoGari aina ya DAF XF EURO5 engine ya paccar inauzwa ipo separate kibini pamoja na chesesi, Engine inahitaji matengenezo.
View attachment 2445736
TAJIRI anahitaji milioni kumi na tano(15) kwa mawasiliano piga namba +255 763 363 536, +255 683 067 976 Gari inapatikana DAR ES SALAAM, TANZANIA
View attachment 2445741
Kibini ipo sawa kabisa ni kupachika kwenye chesesi na matengenezo madogo madogo tu.
View attachment 2445742
Engine aina ya paccar EURO5 View attachment 2445744
View attachment 2445746
View attachment 2445748
View attachment 2445749
Kwa mwenye hitaji la kuifufua kila documents zipo pia unapatiwa kwani ipo kamili kwa mawasiliano zaidi +255 763 363 536, +255 683 067 976
INAUZWA MILIONI KUMI NA TANO (15)
Haiuzwi kwa mfumo huo ukiwa unahitaji njoo ununue nzima kama ilivyo utaenda kukatakata mwenyewe, hapo inahitajika bei elekezi 15mlLabda uniuzie kama scrapper Tsh 500/kg. Niko hapa jet lumo
Mwambie tajiri yako alitengeneze kwanza, halafu auze hilo gari likiwa zima! Badala ya kutaka kumuuzia mtu mbuzi kwenye gunia.Haiuzwi kwa mfumo huo ukiwa unahitaji njoo ununue nzima kama ilivyo utaenda kukatakata mwenyewe, hapo inahitajika bei elekezi 15ml
Hilo unalosema ni sawa Tate Mkuu lkn unatakiwa kufahamu wapo watu wanaohitaji spare parts sasa ukisema kama scrapper ni sawa na kutupa kitu wakati kunaweza mfaa mwingine.Mwambie tajiri yako alitengeneze kwanza, halafu auze hilo gari likiwa zima! Badala ya kutaka kumuuzia mtu mbuzi kwenye gunia.
Kinyume na hapo, basi chukueni ushauri wa jamaa, wa kuuza kama scraper!
Hapo issue ipo hivi dudus ukiwa unahitaji fanya mawasiliano huenda unamteja au mfanyabiashara wa spare parts aje akague anahitaji spare gani hapo kisha tufanyebishara lkn kukatakata hiyo ni hasara embu fikiria kilo huyo jamaa kasema 500tshs kweli hadi ifike kilo 30,000 ndiyo upate hiyo 15ml sasa wewe huoni ni sawa na kutupa mali huko.... shida gari za hivyo na aina hiyo maskini hanunui (maana matengenezo yake ni balaa) wala matajiri hawanunui (wao hununua brand new). In short haiuziki labda kwa ushauri aliotoa jamaa hapo juu.
Akitengeneza Cold Free inamaana gani tena kuuza wakati ishakua mali yenye faida na inapiga kazi wewe tafuta mfanyabiashara wa spare parts aje akague anataka spare gani hapo au kama ni kibini peke yake afunguke tufanye biashara ila kukatakata ni hasara sana.Kama ni ya 'kupachika' kwanini huyo tajiri wako asipachike halafu auze ikiwa nzima inapiga mzigo barabarani?
Nimegundua wewe Algore hufahamu kabisa biashara ya chuma chakavu au ulitaka kuleta biashara za uwinga(mtu wa kati) nimefanya uchunguzi wa kina kwenye maeneo wanayofanya biashara cha ununuaji wa chuma chakavu(scrapper) nimegundua ulitaka kuleta ujanja wako hapa bei wanayonunua kwa kilo hivi sasa.Labda uniuzie kama scrapper Tsh 500/kg. Niko hapa jet lumo
Chuma: 1,000/=
Copper: 10,000/=
Alminium: 2,500/=
Cast: 1,500/=
Hizo ndio bei elekezi kutoka viwandani sasa hiyo unayosema wewe kuwa ni 5,00/= kwa kilo umeitoa wapi kama ndio unayonunulia huko basi unaiba sana kwa hao wananchi wa maeneo yako.Brast: 4,000/=
Hapo bado gharama ya kupakia, kusafirisha, kupakua Boss. Kwa hiyo mimi hapo napata Tshs 100/kg tu.HapoNimegundua wewe Algore hufahamu kabisa biashara ya chuma chakavu au ulitaka kuleta biashara za uwinga(mtu wa kati) nimefanya uchunguzi wa kina kwenye maeneo wanayofanya biashara cha ununuaji wa chuma chakavu(scrapper) nimegundua ulitaka kuleta ujanja wako hapa bei wanayonunua kwa kilo hivi sasa.
Hizo ndio bei elekezi kutoka viwandani sasa hiyo unayosema wewe kuwa ni 5,00/= kwa kilo umeitoa wapi kama ndio unayonunulia huko basi unaiba sana kwa hao wananchi wa maeneo yako.
Sasa ulitaka ile kwangu au sio!Hapo bado gharama ya kupakia, kusafirisha, kupakua Boss. Kwa hiyo mimi hapo napata Tshs 100/kg tu.
piga tafu hapo acha kuvuruga maneno Kennedy 🚧🚧🚧Business Digenda Shoti
Sasa ulitaka ile kwangu au sio!
Tuelewane kidogo wewe unataka maslahi flani si ndio, Vilevile mimi pia sasa tepeane riski rafiki yangu, Nakuomba tupambanie hili wote tafuta mtu anaehitaji spare parts achana na kukatakata..Una 3% pindi tu unaponiletea mnunuaji wa spare kwangu halafu tutapima kile kinachosalia kwa bei ya 7,00/= kwako.
NB: NIMESHAURI ENDAPO UTAAFIKI MAWASILIANO; +255 763 363 536, +255 683 067 976
Wala sio tishio kama usemavyo ishu ni kuzingatia service ya kueleweka na sio kibahilibahili hizi chuma ni umeme mwingi sana ndio kinachowashinda ndugu zangu wengi service hawafanyi hadi chuma inapoanza kutaga ndio wanastuka!Mziki wa DAF.usikie tu.
Tunachokijua