mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,153 Reaction score 798 Jan 10, 2015 #1 Jamani habari, je kuna mtu keshawahi nunua hizi gari aina ya eicher kwa kampuni yeyote, na je unaweza kuinunua kwa credit.. Naomba kwa yeyote anayejua, anijuze...
Jamani habari, je kuna mtu keshawahi nunua hizi gari aina ya eicher kwa kampuni yeyote, na je unaweza kuinunua kwa credit.. Naomba kwa yeyote anayejua, anijuze...