mmakonde mjanja
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 288
- 128
HyundaiJamani naomba kufahamu mambo haya kuhusu gari tajwa hapo juu
Gari ina cc 1998/2000, na ni 4wD / 2wD
Left hand diesel
Auto TM
Swali , je nitatumia 1L kwa kilometre ngapi?
Na vipi kubusu ubora na vipuli vyake yani upatikanaji nabei
Pia nini changamoto ya gari zakushoto.
Ahsanteni sana
View attachment 1062419View attachment 1062420View attachment 1062421
Sent using Jamii Forums mobile app
Hulielewi kivipi mkuu?hili gari silielewagi kabisa
model hii shape yake siikubali...ila ile inayofuatia kama sikosei ndo iko poaHulielewi kivipi mkuu?
Okmodel hii shape yake siikubali...ila ile inayofuatia kama sikosei ndo iko poa
Ila vipi mkuu ushawahi kujua kuhusu ubora mafuta na service?
Sawa mkuu ningependa pia unijibu swali langu la awaliMbona ya zamani sana, ninayo yangu 2016 nipe m48, ni 2016 model,45k mileages ipo SA