lilraq12345
Member
- May 25, 2017
- 19
- 35
Miezi minne uuze bei ya kuipokea toka jamani
Kama huna cha kusema kaa kimya. Kuliko kuonyesha upumbavu wako. Kwanza ulipata ile milioni ya kukopeshwa?Yani gari ina miaka 15 toka itengenezwe halafu inauzwa 12M.hiyo gari tayari ni chakavu ilitakiwa iuzwe 2-2.5M