Gari aina ya Juke ni nzuri? Wajuzi wa magari

Gari aina ya Juke ni nzuri? Wajuzi wa magari

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Ni kwamba natamani kila gari, japo sipendi mayeboyebo.

Naomba kujua cc za Juke na kama inafaa, je ukiileta hadi dsm ni nsh ngapi?
 
Nissan juke ina cc 1500 inakula mafuta kawaida Tu pia kuhusu spare parts na mafundi wapo wengi.
Nissan juke inafaa zaidi kwenye barabara zetu za vumbi hii, ingawa kwenye performance ni gari ya kawaida Sana kutokana na transmission huwa inachelewa kuchanganya mapema
 
Screenshot_20240724-175217.png

Be forward nenda na dollar 3000+
 
Ni kwamba natamani kila gari, japo sipendi mayeboyebo.

Naomba kujua cc za Juke na kama inafaa, je ukiileta hadi dsm ni nsh ngapi?

Inaonesha wewe na magari ni kama mguu wa kushoto na kulia...

Je, utaweza kuihudumia Nissan wewe?
 
Back
Top Bottom