Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vizuri ukatoa taarifa zifuatazo:-
1.Bei ya gari 2.Umbali iliotembea(mileage)
3.Namba ya usajili.
4.CC za injini ya gari.
5.Manual/automatic.
6.Toyota landcruiser ya mwaka gani.
7.Picha ya sehemu muhimu za gari kama injini,sehemu za ndani za gari pamoja na picha ya gari zima kwa nje.
Tangazo la gari linahitaji hizo taarifa.
Duhh,kwa muonekano hata wewe mkuu umekosa commission,Ishapata mteja