Car4Sale Gari aina ya Land Cruiser linauzwa

Ni vizuri ukatoa taarifa zifuatazo:-
1.Bei ya gari 2.Umbali iliotembea(mileage)
3.Namba ya usajili.
4.CC za injini ya gari.
5.Manual/automatic.
6.Toyota landcruiser ya mwaka gani.
7.Picha ya sehemu muhimu za gari kama injini,sehemu za ndani za gari pamoja na picha ya gari zima kwa nje.
Tangazo la gari linahitaji hizo taarifa.
 
Huyu dalali tu yote hayo hawezi kujua zaidi ya hiyo picha aliyotumiwa whatsapp...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…