Car4Sale Gari aina ya OPA ya mwaka 2004 inauzwa

Tokeo

Member
Joined
May 17, 2017
Posts
16
Reaction score
6
Gari aina ya OPA inauzwa kwa bei ya TZS. 8,000,000, ipo Dar es Salaam
imetengenezwa mwaka 2004, ipo katika 'good condition', inavibali vyote, engine capacity ni 1,760cc, muonekano na rangi tafadhali angalia picha.

Kwa mawasiliano nitafute katika namba hii, Sifuri Saba Moja Saba, Nne Nane Tano, Saba Sita Saba...au njoo inbox

Asante na karibuni!!
 

Attachments

  • 20170420_151325.jpg
    163.9 KB · Views: 156
  • 20170420_151354.jpg
    183.5 KB · Views: 179
  • 20170420_151408.jpg
    217.5 KB · Views: 200
  • 20170420_151429.jpg
    181.1 KB · Views: 174
  • 20170420_151523.jpg
    138 KB · Views: 116
  • 20170420_151533.jpg
    139 KB · Views: 137
  • 20170420_151618.jpg
    148.4 KB · Views: 129
  • 20170420_151645.jpg
    119.9 KB · Views: 135
Naona watu wanapita kimya kimya kula tano hapa ya haraka haraka.
 

aiseee nimecheka sana ubunifu wako mkuu.
 
Nna nne unusu. ...fasta tu ipo mfukoni wa shati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…