Rav 4 inauzwa ipo katika hari nzuri (haina tatizo lolote)
MODEL : RAV 4
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOUR: SILVER
ENGINE CAPACITY: 1990
FUEL: PETROL
FROM: JAPAN
MANUFACTURE: 2003.
INA KILAKITU HALALI
PIGA. 0714 045 080.
UKITAKA PICHA UTATUMIWA KWA WHATSUPP....
Miiko ya Biashara inataka uwazi katika Mauzo, nadhani uwekwe mwongozo hapa wa jinsi ya kuweka matangazo hususani ya Mauzo ili yasipokidhi viwango tangazo liondolewe!! Weka picha acha ujeuri!!!
Vipi uliibiwa Gari na wajanja nini? Hili co duka ka magari lingekua duka ningefanya hvyo lakini Mimi sio mfanyabiashara Wa magari ila nauza Gari Yangu sasa sijui hii ni biashara au? Njoo inbox nikutumie picha au nikuletee uione kama kweli mnunuaji asante