Piga simu uje uone. KaribuniGari ya Spacio new model inauzwa
Imetunzwa vizuri na haina tatizo lolote
Ipo Dar
Gari ina full AC
Redio & Dvd player
New tyres
Full documents
Bei 6.8m
Waweza kuja kuitest na fundi wako
Maelezo zaidi kwenye picha ya kadi
Au piga simu 0685401051
NB: Naomba wale madalali wa kupangiana bei mtulie kwanza.Serious buyer nipigie tuongeeView attachment 1654127View attachment 1654128View attachment 1654129View attachment 1654130View attachment 1654131View attachment 1654132View attachment 1654133View attachment 1654134View attachment 1654135View attachment 1654136
Sawa boss..Hapana mkuu ni kubwa ila haikidhi
Nguvu iliyotumia kupiga picha documents za gari na kuscreenshot picha za gari zenye ubora hafifu ingehifadhiwa ikatumia ktk kupiga picha nzuri zenye kuonesha kwa ufasaha bidhaa husika (gari)