KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 15, 2024 #21 vumiliag said: Wakuu habari, Ndugu yangu anauza gari aina ya suzuki lihana. Gari inapatikana maeneo ya kimara Mwisho cc 1490 Bei ni m6 inapungua kidogo No 0715568585 Usajili no DHD 2WD gari ni automatic View attachment 3162501View attachment 3162503View attachment 3162504 Click to expand... Bei GANI?
vumiliag said: Wakuu habari, Ndugu yangu anauza gari aina ya suzuki lihana. Gari inapatikana maeneo ya kimara Mwisho cc 1490 Bei ni m6 inapungua kidogo No 0715568585 Usajili no DHD 2WD gari ni automatic View attachment 3162501View attachment 3162503View attachment 3162504 Click to expand... Bei GANI?
Top for B JF-Expert Member Joined Mar 4, 2023 Posts 803 Reaction score 2,796 Dec 15, 2024 #22 TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Bei GANI? Click to expand... 45M
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Dec 15, 2024 #23 uttoh2002 said: Hii gari inafanana na yule mdudu anayesukuma pupu za wanyama kinyume nyume Click to expand...
uttoh2002 said: Hii gari inafanana na yule mdudu anayesukuma pupu za wanyama kinyume nyume Click to expand...
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Dec 15, 2024 #24 vumiliag said: wala gari haina shida nmeipanda mara nyingi tu Click to expand... Dalali unahitaji upgrade v2.0 Unatakiwa ujue kuendesha gari sio kuipanda, kwani imekuwa punda.....
vumiliag said: wala gari haina shida nmeipanda mara nyingi tu Click to expand... Dalali unahitaji upgrade v2.0 Unatakiwa ujue kuendesha gari sio kuipanda, kwani imekuwa punda.....
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 Dec 15, 2024 #25 vumiliag said: gari bado ipo Click to expand... Milioni 4 ipo. Tufanye biashara
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Dec 16, 2024 #26 Wanunulieni wake zenu chuma hiyo waache kudhalilishwa kwenye mwendokasi 😂😂 Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume Mhhh, watu wanapeana ushirikiano jamani. Inaonekana huu mchezo unapendwa na jinsia zote, sasa ni kuwatenganisha tu kama talebani. ==== Pia soma: Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio kwenye usafiri wa umma www.jamiiforums.com
Wanunulieni wake zenu chuma hiyo waache kudhalilishwa kwenye mwendokasi 😂😂 Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume Mhhh, watu wanapeana ushirikiano jamani. Inaonekana huu mchezo unapendwa na jinsia zote, sasa ni kuwatenganisha tu kama talebani. ==== Pia soma: Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio kwenye usafiri wa umma www.jamiiforums.com