Gari aina ya TATA double cabin na Foton, ubora, umadhubuti na changamoto zake

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wakuu, heri ya mwaka mpya.

Kwa leo nataka niyajue kiundani haya magari.

Mama watoto kalazimishwa ni lazima achukue moja kwa mkopo huko kazini kwake kutokana na nature ya KAZI yakeke na nafasi take.

Tata dude la India, Foton la China, je achukue lipi?
 
Serikali ya China imetoa Msaada wa foton Kwa jeshi la polisi haya Magari wameiga mfumo wa land cruiser lkn bado yatabakia ni mchina Tu....
Foton ni SUV lakin ni gari ambayo haiwezi kupiga Masafa marefu Kama harrier.
kuhusu Tata sijui lolote.....
 
 
Asichukue yoyote hapo. Wanalazimisha kwani huo mkopo wanalipa wao? Hivi hizi ajira nyingine ni kama jela?!!
 
Chukua Tata Xenon double cabin.

Hiyo mikopo ya kulazimishana Kwa magari ambayo sio dili sokoni ni hatari.Kuwa majini sije mkalazimishwa kuvaa Pajama na Panjabi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…