FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
mimi sio mtaalamu wa magari na wala similiki gari ila hii gari ni tam sana bro anamiliki fortuner ya mwaka 2017 ni bonge moja ya gari kama uchumi unaruhusu imiliki tu naamini kama unaweza kuiagiza hata mafuta hayawezi kukishinda mkuuJamani nimetokea kuilewa hii gari sana na nina mpango wa kutaka kuimiliki.
Naombeni wajuzi kwenye hili jukwaa mnipe abc ya haya magari.
Ulaji wake wa mafuta
Services na upatikanaji wa spare.
Gharama ya kununua mpaka nalitia mkononi.
Nitashukuru sana kwa michango yenu
Shukran mkuumimi sio mtaalamu wa magari na wala similiki gari ila hii gari ni tam sana bro anamiliki fortuner ya mwaka 2017 ni bonge moja ya gari kama uchumi unaruhusu imiliki tu naamini kama unaweza kuiagiza hata mafuta hayawezi kukishinda mkuu
Jamani nimetokea kuilewa hii gari sana na nina mpango wa kutaka kuimiliki.
Naombeni wajuzi kwenye hili jukwaa mnipe abc ya haya magari.
Ulaji wake wa mafuta
Services na upatikanaji wa spare.
Gharama ya kununua mpaka nalitia mkononi.
Nitashukuru sana kwa michango yenu
Hapo ndipo hua najua watu tunatofautiana kwny aina ya magari ya kupenda.Toyota fortuner
Ford endevour
Haya magari nikiona yanakatiza moyo wangu unalia paaaa... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
HUKUJAMBA???Toyota fortuner
Ford endevour
Haya magari nikiona yanakatiza moyo wangu unalia paaaa... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]