Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Ila Watanzania😂 kwa kuwa kuna gari nyingine hapo basi tayari ipo garage. Gari haipo garage mwenye nayo kaipaki alipotoka kazini jana. hata ukitaka kuletewa ulipo inakuja. Akiisoma hii comment mteja mwengine si ataona gari ipo garage kweli. Anyways ndo mteja mfalme tena acha tujifanye wajinga😅Mbona kama imepaki garage....inaumwa nini?
Nimeuliza mkuu na umejibu vyema kuwa haipo garage..Ila Watanzania😂 kwa kuwa kuna gari nyingine hapo basi tayari ipo garage. Gari haipo garage mwenye nayo kaipaki alipotoka kazini jana. hata ukitaka kuletewa ulipo inakuja. Akiisoma hii comment mteja mwengine si ataona gari ipo garage kweli. Anyways ndo mteja mfalme tena acha tujifanye wajinga😅
Maana ya maelewano ni hiyo. Karibu boss
Wakatisha tamaa kwenye ubora wenu
Acha tu mkuu. Nimejifunza kuwachukulia kwa wema tuWakatisha tamaa kwenye ubora wenu