Gari aina ya Toyota IST

BigMan

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Posts
1,096
Reaction score
135
Kwa wataalamu nini uzuri na ubaya wa magari aina ya Toyota IST ? Kwani nataka kuagiza kutoka Japan,nitashukuru kupata maelezo ya magari hayo
 
Najua kuhusu ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana,yani iyo gari ni kamasawee,.
Ist ni new model ya vits,bt kwa barabara mbovu itakufa haraka.spair zake zipo mingi tu aisee. Engine yake ni safi kuliko duet,haichemshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…