Gari aina ya voxy noah lifanyiwe biashara gani!?

Am a star

Senior Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
167
Reaction score
158
Wakuu

Nisiwachoshe kuna gari hapa mjini Iringa Voxy noah. Inaweza kufanyiwa shughuli gani ya kuingiza kipato ukiacha kupakia abiria..

Napokea mawazo yenu wakuu.
 
Unaweza kuifanya ya kufanya biashara zile soft lbda vipodozi unatembeza maeneo mbalimbali ila usibebe mzigo mzito sana.
 
Leo nimepanda Noah za Ikwiriri -Rufiji
Kimejaza watu 15 pamoja na dereva ni hatari kuliko hatari yenyewe.
Kweli tembea uone
...
 
Wakuu

Nisiwachoshe kuna gari hapa mjini Iringa Voxy noah. Inaweza kufanyiwa shughuli gani ya kuingiza kipato ukiacha kupakia abiria..

Napokea mawazo yenu wakuu.
Tafuta wanaopeleka magazeti mikoani wakodishie
 
Leo nimepanda Noah za Ikwiriri -Rufiji
Kimejaza watu 15 pamoja na dereva ni hatari kuliko hatari yenyewe.
Kweli tembea uone
...
Watu hadi kwenye buti
 
Paki Hospital pakia wagonjwa hasa wale ambao wanasindikizana zaidi ya wa 4.
Pale Bugando Mwanza Toyota Wish ndio zinapiga kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…