gari ipo mkoa gani? halafu weka no za cm fresh tuzisome mkuu, kama hazijakamilika vilee...
Aisee, nimependa jinsi ulivyoipiga picha na ulivyotoa maelezo. Good!Wadau..mimi sio muuzaji wa hili gar bali muhusika kaniomba nimsaidie kupost hapa.# yake ni 0784806980
Specifications:
Year of manufacturing 1998, engine capacity 1990, road tax up to date, mileage covered 165000,
Petrol
Tshs.8/= million cash.
Kama ungependa kuuliza zaidi au kufahamu zaidi mcheki huyu jamaa hapa #0784806980 na hii inaenda hata kwa anaetaka kununua.
Iko poa kabisa
Karibuni.
Updates.
Gari iko DSM
Simu.#0784806980