Car4Sale Gari canter inauzwa mzee Kwa bei Rahisi sana

Car4Sale Gari canter inauzwa mzee Kwa bei Rahisi sana

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
Gari aina ya canter inauzwa Kwa bei rahisi sana ni baada ya mzee kuona dereva anamsumbua kaamua kuuza
Anahitaji million kumi na tatu tu
kama una mteja uza Kwa bei yeyote yeye yake ni hiyo tu Gari ipo mbezi beach Dar
Aliagiza kutoka Japan ina miaka miwili tu tangu ainunue ina kila kitu documents zote zipo full

ukiwa na mteja au unahitaji karibu SIMU:0659567058 View attachment 1162205View attachment 1162206
IMG_20181229_081123-1.jpeg
IMG_20180929_175606.jpeg
IMG_20190302_090845.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20180805_141913-1.jpeg
    IMG_20180805_141913-1.jpeg
    101.3 KB · Views: 15
Weka na picha za ndani tuone ipo katika hali gani pia nyanyua na cabin tuone injini iko vipi
 
Weka na picha za ndani tuone ipo katika hali gani pia nyanyua na cabin tuone injini iko vipi
Ishachukuliwa Ndugu wenzio hawaangalii picha Ndugu unakuja unakagua ukiridhika unajibebea WATANZANIA MNAPOTEZA FURSA KIUJINGA SANA

PAMOJA BOSS ISHANUNULIWA TAYARIIIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom