ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 668
- 426
Nahitaji pesa kaka, kama pesa ipo nicheki namba nimeweka hapoMzee kama hakinq shida yoyote naomba tufanye exchange na Toyota porte DES
Umechanganya Hiyo ni Daihatsu Terios Kid, ile ya Toyota inaitwa Toyota Cami.daihatsu terios kid na si toyota terios kid.
Sasa kwann unataka mwenzako akupe gari we umpe pikipiki ya matairi manne?Mzee kama hakinq shida yoyote naomba tufanye exchange na Toyota porte DES
Gari ni ipi pikipiki ni ipi hapo?Sasa kwann unataka mwenzako akupe gari we umpe pikipiki ya matairi manne?
sijachanganya nilikuwa najaribu kumuelewesha mleta uzi.Umechanganya Hiyo ni Daihatsu Terios Kid, ile ya Toyota inaitwa Toyota Cami.