Gari dogo la kukodi kwa ajili y a town trip/harusi Dar

DONALD

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
275
Reaction score
35
Wadau,

Kama kuna mtu anahitaji gari/Magari ya kukodi kwa ajiri ya daily Town Trips au Kwa Shughuli za harusi,

Naomba anicheki apa

0755 927881 (whatsap) and 0714 345432,Email:dbuberwa@imbank.co.tz/macdonaza@yahoo.co.uk

Bei ni kuanzia TZS 35,000/- per day na kuendelea..................

The Don.
 
Hiyo ni pamoja na Fuel and Driver with his allowances?
Npe Bei ya Tabata - Kunduchu Beach Welt and Wild - Tabata,full day
 
Ukikodisha unalipa 35,000/- per day,hiyo ni pesa ya mwenye gari,then wewe unatumia gari the all day,mafuta na dereva ni juu yako...
 
Je mnazo 4WD kama Landruiser VX V8 etc na rates zake vipi.
 
Mkuu hizo sina but naamini wenye nazo watatilika apa muda si mrefu au kama si ugently nikuchekie kwa wajamaa wangu ambao wanayo but muda wa kuyatangaza si kivilee...no yangu ipo juu apo karibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…