Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 312
Duh kuna jamaa juzi alileta bandiko lake kua anatafuta gari yakumsaidia ktk kazi zake bajet yake m2,kuna watu wakamuambia kwa m2 hatopata gari
mkuu kwanini wewe mnunuzi usilinunue kabla wasio wanunuzi hawajaja kulikandia
Sehemu gani chuga nije icheki ila tupia na picha zapo ndaniBei millioni 2 cash
Toyota Corsa
Engine EFI ( starlet)
Capacity 1200
Inafanya kazi vizuri kabisa bado mpya
Location Arusha
Gari ni nzima jino moja unawasha na kuondoka.View attachment 1407437View attachment 1407444View attachment 1407437View attachment 1407444View attachment 1407445View attachment 1407446View attachment 1407449
Nina milioni 2 natafuta gari ndogo iliyotumika ili niifanyie kazi zangu - JamiiForumsDuh kuna jamaa juzi alileta bandiko lake kua anatafuta gari yakumsaidia ktk kazi zake bajet yake m2,kuna watu wakamuambia kwa m2 hatopata gari
Cc ngapi? KamandaNisaidie kumtag mwambie chuma ndo hichi. Bei ya kutupa kabisa hii. Engine bado mpya mafuta kijiko tu unazunguka kila mahali
1200Cc ngapi? Kamanda
Gari nzuri bei rahisi, tupiamo na picha za ndani kiongoziBei millioni 2 cash
Toyota Corsa
Engine EFI ( starlet)
Capacity 1200
Inafanya kazi vizuri kabisa bado mpya
Location Arusha
Gari ni nzima jino moja unawasha na kuondoka.View attachment 1407437View attachment 1407444View attachment 1407437View attachment 1407444View attachment 1407445View attachment 1407446View attachment 1407449
[emoji23][emoji23]Ninalakitatumiminiyatima.
Jifunze kuandika kwanza.Ninalakitatumiminiyatima.