Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Nataka gari mpya ya bei ndogo zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza nipa na bei zakeStarLet, Suzuki Escudo no A au Toyota Oppa
iPhone-s
Gari mpya kutoka kiwandaniNataka gari mpya ya bei ndogo zaidi
Thanks dear
Thanks bei karibia na pikipiki, hiyo milioni nne hapa hapa bongo au ikiwa nje ya nchi
Kwa tafsiri halali ya kibongo zenye km 1+Mpya kwa tafsiri halisi au tafsiri ya Kibongo?
Kuna mpya used kutoka Japan ,China and so(kwa tafsiri ya kibongo)
Kuna mpya wewe ndiye mmiliki wa kwanza toka kiwandani(inasoma 0.something km) hii ndo tafsiri halisi ya gari mpya
Kwa tafsiri halali ya kibongo zenye km 1+
Ahsante kiongoziAhaa. Poa, Suzuki, Nissan March, starlet,passo.
Hizo gari full mpaka unapewa mkononi ni 7-10 millions. Mpyaaaaa
Ahsante kiongozi
[emoji33] [emoji33] [emoji33]
Karibu tukuagizie kwa mkopo kutoka japanNataka gari mpya ya bei ndogo zaidi
NAFAHAMU TOYOTA OPPA NI 1790 CC.StarLet, Suzuki Escudo no A au Toyota Oppa
iPhone-s
Hiyo gari inawahi sana kuchoka,na inachoka vibaya sanaNAFAHAMU TOYOTA OPPA NI 1790 CC.
IVI KWANINI OPPA BEI ZAKE ZIPO CHINI SANA?
JE GARI HIZI ZINATATIZO GANI MPAKA BEI YAKE KUWA HIVYO?
DURABILITY?UIMARA WAKE UKOJE?
BEI YA SPEA ZAKE ZIKOJE?
FUEL CONSUMPTION YAKE IKOJE?