Sasa mzee gari kama hili si la kupigia bata? Au nawaza tofauti? Na kama utapigia mishe za business, itakuwa business gan hiyo mzee? Na service yake inapatikana kiurahisi ? Maana lazima tuzingatie hayo na aina za Barbara za kitanzaniaChukua VW Touareg
Kumbe majibu unayo bado unataka USHAURI?Sasa mzee gari kama hili si la kupigia bata? Au nawaza tofauti? Na kama utapigia mishe za business, itakuwa business gan hiyo mzee? Na service yake inapatikana kiurahisi ? Maana lazima tuzingatie hayo na aina za Barbara za kitanzania
Usinunue SUV kama plan yako ni kuifanyia biashara, nakushauri nunue MPV yoyote kama noah au sientaWakuu poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa!
Naomba kujuzwa brand ipi ya gari dogo lenye muundo wa SUV ambalo linaweza kutumia kuingiza Mia mbili Mia tatu angalau maisha yaendelee?
( Maana ni aina ya biashara nayotamani kuifanya )
Pia naomba kujuzwa na kushauriwa juu ya business idea kulingana na gari ulilopendekeza.
Kwa Faida ya wote wana jamiii Africa
NATAKULIZA SHUKRANI SANA
Sasa unahitaji SUV na hujui utaifanyia biashara gani, hii ni ngumu sana ni bora ukajua unataka kufanya biashara gani ndio utafute aina ya gari . Au toa budget yako ndio ushauriweAsante sana mkuu, but kulikuwa na vijitetesi kuwa aina hizi za gar zilipigwa burn kufanya shughuli za usafirishaji au nimepotoshwa?