Gari gani ina injini bora kati ya Townace na Liteace Truck

king90

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
368
Reaction score
219
Wakuu habari ya muda huu! Naomba msaada wa kujuzwa Engine gani ni nzuri kwenye hizi Gari Townace au Liteace truck maana nimeona kuna engine nyingi sana kama 2Y,3Y,2C,4K,5K na 7K carburated na 7K enjection.Natanguliza shukrani
 
Ninachojua mimi ni kwamba Engine ya 7K ina carburator na hii ikianza kukusumbu ni shida naona 5K ni nzuri au 3Y.Ngoja wataalam waje wajazie nyama
 
Back
Top Bottom