Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu kununua hakuna tatizo yapo makampuni mengi tuu yanauza magari used na kwa bei nzuri tatizo ni baada ya kununua kwa baadhi ya magari ambayo yananunulika sana Jozi yanaibiwa sana sema ukinunua ni service na kuondoka mapema muda wa Massa ya kazi ndio uitafute Botswana ni masaa matatu kuitafuta Gaborone kutokea Jozi...wapo Metal scrap yard,SMD ya Borgsburg na city deep wanauza gari bei nzuri na unadeposit cash bank unapeleka slip na kuchukua Gari yako na pia unaweza ukaona bei imendikwa ipo juu unawashusha tuu wanakuuzia...Kaka Isanga family usalama unakuaje apo sasa jozi ukitaka kuja kuchukua dinga

Hee kwa hyo inatakiwa ukishanunua ni kusepa faster usirembe?Mkuu kununua hakuna tatizo yapo makampuni mengi tuu yanauza magari used na kwa bei nzuri tatizo ni baada ya kununua kwa baadhi ya magari ambayo yananunulika sana Jozi yanaibiwa sana sema ukinunua ni service na kuondoka mapema muda wa Massa ya kazi ndio uitafute Botswana ni masaa matatu kuitafuta Gaborone kutokea Jozi...wapo Metal scrap yard,SMD ya Borgsburg na city deep wanauza gari bei nzuri na unadeposit cash bank unapeleka slip na kuchukua Gari yako na pia unaweza ukaona bei imendikwa ipo juu unawashusha tuu wanakuuzia...
Hata hivyo ukishapata karatasi za Interpol na clearance ya Export and trade wanafuta registration za hiyo gari unapewa kama wiki tuu kwa hiyo inakutaka utoke mapema ila usipofata mtiririko mzuri itakusumbua wanapokuja Tanzania kukagua magari ambayo yametoka kule bila kufutwa au kupata Dot...Hee kwa hyo inatakiwa ukishanunua ni kusepa faster usirembe?
Gari ya 2015 utaiweza bei yake?
...ukishasema ni D4D means inatumia diesel .. wazo zuri pia ..hizo ni bei ganiChukua Toyota Hilux Double Cabin D4D kuanzia mwaka 2008 hivi mpaka 2012 ni gari nzuri sana hasa upate inayotumia Diesel Cc 2500- 3000 manual transmission. Ni gari ya uhakika sana
Ukicheki Be Forward au Trade Car View utapata kwa $10000 mpaka 17000 kwa CIF inategemea na mwaka na pia KM ilizotembea...ukishasema ni D4D means inatumia diesel .. wazo zuri pia ..hizo ni bei gani
Ila sio mbaya kwa sababu kikokotoo Bado kinatumika kile Cha zamaniMkuu mbona umeshtuka Sana. Maana hata mnunuzi kaweka makadirio yake yapo mule mule
ππππ kweli aise wengine tunaingia kushanga tuu cos tunapenda story za magari
Wanaibaje kwamfano?Mkuu kununua hakuna tatizo yapo makampuni mengi tuu yanauza magari used na kwa bei nzuri tatizo ni baada ya kununua kwa baadhi ya magari ambayo yananunulika sana Jozi yanaibiwa sana sema ukinunua ni service na kuondoka mapema muda wa Massa ya kazi ndio uitafute Botswana ni masaa matatu kuitafuta Gaborone kutokea Jozi...wapo Metal scrap yard,SMD ya Borgsburg na city deep wanauza gari bei nzuri na unadeposit cash bank unapeleka slip na kuchukua Gari yako na pia unaweza ukaona bei imendikwa ipo juu unawashusha tuu wanakuuzia...
Kwenye mataa au unapoenda nyumbani unafatwa nyuma mpaka nyumbani kwako getini wanakua na bunduki kama wawili watatu na Gari wanaisimamisha kwenye geti,gari ikiwepo kwenye geti kwa hizi automatic geti haijifungi kwa hiyo wanakumbilia kwa mguu wanachukua gari yako ikifika getini wanatoa yao na yako bumper to pumber ili geti lisijifunge ila kwa sisi ukiwa na gari lenye nguvu unaridi nyuma unaenda kugonga gari yao getini au unawafata kuwagonga lazima waache gari kuokoa nafsi zao...