Gari gani unalikubali: Range rover vs G-wagon

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Toa mrejesho hapa kuhusu hizi gari mbili, Gari gani unaikubali kati ya range rover na g wagon
 
G Wagon is the Best from my end
 
Mwanzo nilijua Mercedes Benz G - class wagon ni nzuri lakini kumbe ni mbaya kwa sababu inatoa mlio mbaya itafikiri gari ni bovu, niliwahi kuona mitaa fulani inapita mimi nafikiri range rover hasa ile range rover startech ndiyo nzuri zaidi.
 
G Wagon is good looking.

But I think this is the sexiest car in my perspective.


 
Range Rover ndio kila kitu kwangu..
 
G wagon ni ya uhakika zaidi.haswa kwenye rough road.Range sio stable kwenye rough road.
 
Toa mrejesho hapa kuhusu hizi gari mbili, Gari gani unaikubali kati ya range rover na g wagon
View attachment 599638
Range rover... Tene sport ndio shangwe.

G-wagon milango yake tafkiria ilipigwa na screw kwa Mfinanga bhana. Kwanza nasikia reliability yake mbovu kuliko Range Rover. Fuel consumption ndo kabisa.

Anyway katika dream cars zangu, ya kwanza Toyota land cruiser... Nikiwa na hela za kuchezea ndio nitanunua Range Rover. Lakini G-wagon, nitabaki naiona kwa kina Kim Kardashian.

-callmeGhost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…