Gari gani (used) ni nzuri kwa ajili ya kuifanya taxi?

Tembelea ofisi yoyote ya TRA watakushauri vizuri kuhusu TAX
 
Katika hizo gari ulizozijumuisha hapo naona kama hiyo Vitz ndio itakufaa,hasa kwenye biashara ya Uber
 
Kama ni Tax ya kawaida haina shida...

Ila kama ni uber au Taxify, sidhani kama zitakufaa...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…