R rebeca Senior Member Joined Dec 18, 2011 Posts 190 Reaction score 27 Jan 13, 2012 #1 jamani inafaa kufanyia kazi za taxi...nipeni specification na bei zake second hand, pili kwa sasa bongo wanakubali skrepa au ni uzushi tu kuna gari nimeiona nzuri ya mwaka 98...lol Thanks.
jamani inafaa kufanyia kazi za taxi...nipeni specification na bei zake second hand, pili kwa sasa bongo wanakubali skrepa au ni uzushi tu kuna gari nimeiona nzuri ya mwaka 98...lol Thanks.