Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,712 Jun 2, 2012 #1 inafaa kwa biashara ya Taxi na shilingi ngapi??? na pia naombeni input zenu,prons and cons za kuifanya hii biashara mie nataka kujikita uko.....
inafaa kwa biashara ya Taxi na shilingi ngapi??? na pia naombeni input zenu,prons and cons za kuifanya hii biashara mie nataka kujikita uko.....
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,588 Reaction score 3,194 Jun 3, 2012 #2 Tarlisha said: inafaa kwa biashara ya Taxi na shilingi ngapi??? na pia naombeni input zenu,prons and cons za kuifanya hii biashara mie nataka kujikita uko..... Click to expand... Kuna cons tu hakuna pros. Mtajirishe dereva. Haya ni mawazo yangu tu
Tarlisha said: inafaa kwa biashara ya Taxi na shilingi ngapi??? na pia naombeni input zenu,prons and cons za kuifanya hii biashara mie nataka kujikita uko..... Click to expand... Kuna cons tu hakuna pros. Mtajirishe dereva. Haya ni mawazo yangu tu
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Jun 4, 2012 #3 Siku hizi ni bodaboda tu. Watu wachache sana wanapanda tax!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jun 4, 2012 #4 Umeongea maneno ya kinywa changu, na mawazo ya kichwa changu Chief said: Kuna cons tu hakuna pros. Mtajirishe dereva. Haya ni mawazo yangu tu Click to expand...
Umeongea maneno ya kinywa changu, na mawazo ya kichwa changu Chief said: Kuna cons tu hakuna pros. Mtajirishe dereva. Haya ni mawazo yangu tu Click to expand...
N naivasha Member Joined May 13, 2011 Posts 94 Reaction score 29 Jun 5, 2012 #5 Daladala + Taxi + Bajaj + Bodaboda = BP + Diabetes + Cardiovascular Deseases = Untimely Death
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Jun 6, 2012 #6 Biashara ngumu sana especially kama wewe ni mdada!