bless on JF-Expert Member Joined May 22, 2026 Posts 1,213 Reaction score 2,938 Oct 14, 2026 Thread starter #21 Black Sniper said: Wenzetu wanathamini sana vitu vya kizamani Sisi hata nyumba za zamani tunapiga chini na kujenga mpya Wenzetu wanazilinda kwa kila hali Click to expand... Yes, old is gold
Black Sniper said: Wenzetu wanathamini sana vitu vya kizamani Sisi hata nyumba za zamani tunapiga chini na kujenga mpya Wenzetu wanazilinda kwa kila hali Click to expand... Yes, old is gold
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Oct 16, 2026 #22 ngorokori said: Mwaka 1955 mzungu anafanya haya mambo aseeh kweli sisi tumechelewa sana Click to expand... Mzungu mwaka 1890 anagundua gari ya kwanza hiyo Mercedes Benz baada ilikua kama bajaji ina matairi matatu sisi leo hii 2026 tupo na bajaji sio kwamba tumechelewa hata safari hatujaanza.
ngorokori said: Mwaka 1955 mzungu anafanya haya mambo aseeh kweli sisi tumechelewa sana Click to expand... Mzungu mwaka 1890 anagundua gari ya kwanza hiyo Mercedes Benz baada ilikua kama bajaji ina matairi matatu sisi leo hii 2026 tupo na bajaji sio kwamba tumechelewa hata safari hatujaanza.