Gari hairudi reverse

Wakuu Nina gari yangu Aina ya Suzuki swift hairudi reverse na inatembelea gia moja haichange gia.
Tatizo ni Nini?

Kwa kuanzia nikupe pole.

Historia kidogo ya tatizo lilianza anza je inaweza kusaidia zaidi katika kukushauri:

Je,

1. Gari imetembea km ungali?
2. Wewe ndiyo ulikuwa na gari tangia ikufikie tokea kwa mabeberu?
3. Gari limekuwa ikiendeshwa na driver zaidi ya wewe?
4. Unazo taarifa za kubadilishwa transmission fluid yake kama ni AT transmission? Hii kama ilivyo engine oil, pia hubadilishwa kila baada ya km fulani za matumizi.

Hata hivyo kwa ujumla ujumla:

Kama ni transmission ni AT kagua transmission fluid level inaweza kuwa haiko kwenye level inayotakiwa. AT transmission hushindwa kufanya kazi sawa sawa ikiwa transmission fluid ni too little au too much. Pia hu fail kama imeshakaa mno.

Mara nyingi matatizo ya gears na AT huwa ni kwenye transmission fluids. Focus hapo kwanza kabla ya kulaumu mechanical parts.
 

Broo mm nia gari Ra4 Miss TZ ina gia 7 automanual. ni kwamba gari sasa hivi inaishia gia namba 5 haizid hapo. so nikikanyagis mafuta zaid haikinbii ila RPM inapanda sana.

Pia Kwenye gia moja au mbili gari inatetemeka kama kumiss miss hivi

Shida yaweza kuwa nn???

Service inafanyiwa okey, ATF nikibadiri kama miezi 8 iliyopita
 

Mkuu maswali kama niliyomwuliza huyo chief pia yana kuhusu.

Historia kuwa ilianza je ni muhimu. Pia ATF type gani iliwekwa. Je iliyowekwa ndiyo recommended.

ATF kuna dextron II, III nk. Inayotakiwa kutumika inapaswa kuzingatiwa. Matatizo mengi ya gia kwenye AT ni:

1. ATF kidogo kuliko kiwango kinachotakiwa.
2. ATF nyingi kuliko kiwango kinachotakiwa.
3. ATF siyo iliyo recommended.

Ni vyema kuanza na ATF issues kabla ya kwenda mechanical ambako huko kuna mkuluro wa mambo mengi na complex.

Matatizo mengi huwa yako kwenye ATF issues ambazo hatimaye husababisha hata gearboxes kufa.

Waweza weka chassis number na mwaka wa gari kukushauri zaidi.
 

Mkuu nimekuelewa, ubaya wa hii gari, ATF haina hata deep stick
Chassis ni ACA315009469

msaada pls
 

Uliweka ATF sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…