Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
hizi hapa mkuu
mataraweni,yamkayamnhhhhh...tunatishana jamani...mbona mie hiyo ndio ndoto yangu niliyokuwa naomba kiza kiingie nilale ili niiote...duhhh. Kwahiyo nibadilishe ndoto sio?
Umesema njia za vumbi haifai?....sasa dar wap kuna vumbi na lami yote hiyo.....hata kwetu songea njia nzima mpaka matarawe full lami......sikubali bana...lazima ninunue ili ndoto itimie...halliya foo laifuuuuuuu.
Hizi hapa mkuu
hivi mkuu....kwanini unalidhalilisha hili gari kwa kuliuza 6m....limeharibika nini ulichoshindwa kukitengeneza?....au ndio hutaki hata kuliona maana jana ulivyorudi usiku umemgonga mbwa wako kipenzi german shephard...so unaugulia machungu ya gari yako kumuua mwanafamilia wako?
Be open please...its soo and very cheap..y?..kwann?
Si ukanunue shida iko wapiii! Keshakwambia iko kielectronic zaidi! Husomi naanza kumshambulia. Kanunue ndugu uje utuambie hapa!
Hahahahaaaaaaaaaaa,saluti kwakosio kweli bana...
Ingekuwa kila gharama tunazikimbia basi hata hawa wanawake tunao-waoa tungewakimbia...maana gharama sana kuishi nao.....gharama zinazojitokeza zinamezwa na kuwa fully covered kwenye mapenzi uliyonayo juu ya hiyo gari....
Mie hata hummer ingekuwa inatumia maji ya bomba au hata ya bahari unachota bure bado ningeona garama kulipenda....gari kama jifaru la jeshi mjigari gani huo?.....
Ila range rover sport evog navyoipenda hata ingekuwa inatumia damu ya ngombe ningeinunua kila siku sheli vingunguti naingia road kuzungusha ndoto yangu....potelea mbali ngombe wote waishe mie gari litembee.
Magari yanashuka bei wala msiogope...mbeleni tutanunua kwa milioni tu gari la maana. Wenye vituo vya mafuta wanataka yanunuliwe wanaweza kukupa gari hata la ofa
Inategemea na economic capacity yako, wako wengine ni gharama sn ku-maintain ht corora au starret
sio kweli bana...
Ingekuwa kila gharama tunazikimbia basi hata hawa wanawake tunao-waoa tungewakimbia...maana gharama sana kuishi nao.....gharama zinazojitokeza zinamezwa na kuwa fully covered kwenye mapenzi uliyonayo juu ya hiyo gari....
Mie hata hummer ingekuwa inatumia maji ya bomba au hata ya bahari unachota bure bado ningeona garama kulipenda....gari kama jifaru la jeshi mjigari gani huo?.....
Ila range rover sport evog navyoipenda hata ingekuwa inatumia damu ya ngombe ningeinunua kila siku sheli vingunguti naingia road kuzungusha ndoto yangu....potelea mbali ngombe wote waishe mie gari litembee.
AsanteVvti boss