Gari hii inauzwa.

Siku zote huwa nafurahia sana comments zako. Yaani leo nimecheka hadi basi
 
Mimi siiju sana ila zinakula mafuta sana. Weka picha tuongee
 
Mimi siiju sana ila zinakula mafuta sana. Weka picha tuongee

Picha zipo mkuu just see previous comments, ulaji wa mafuta kwa Gari inategemea na cc, hata pikipiki zinakula mafuta, km Upo serious biashara ipo wazi
 
Harrier zina engine za aina 2 . Engine za 4cylinder na 6cylinders. Ukiona inauzwa rahisi ujue engine kubwa. Harrier yoyote uliza engine kwanza.
 
Bei sio mbaya.Ukisema kwamba hizi gari zinauzwa kila kukicha Mbona GX100 ndio zinaongozwa kuuzwa tena bei cheee karibu ya bure.Mwanzo ilikuwa hot cake sasa hivi soko lake limechukuliwa na Verosa na TI .
Bei ipo poa tu,ila shusha kidogo maana hapo kuna mambo ya kunyoosha bodi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…