Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hv sijawaambia eeh!..Nimetumwa niwaambie kwamba msubiri maana Dereva wake amesafiri, dereva msaidizi kenda kwenye Arusi kusini mwa nchi, konda wake kaenda shambani(kilimo kwanza) japokuwa amegundua kuwa huko shambani hakuna pembejeo, wasaidizi wengine wa gari hiyo wako kupiga debe huko majimboni ili gari ipate abiria wa kutosha...
Kwahiyo tuwe wavumilivu, ila wenye haraka wawahi na ma-Saibaba mengine, japo yana abiria wachache!
gari gani limekuwa kama mganga wa kienyeji!? Kila siku.. Lete kuku, lete mayai, lete mbuzi pacha, mara lete vifaranga vya kijani.. Kwenda halendi limebakia kuunguruma tu!! Mwisho watu wanaanza kudandia madaladala hivi hivi!!