Nawasalimu nyote na napenda kuulizia nina gari yangu ambayo nilikuwa naitumia huku Kwa wazee wa Madrasa na natarajia sasa kurudi nyumbani bara. Je ukiachana na malipo ya kawaida ambayo ni salio la Kodi, nalazimika pia kupitia mlolongo wa ukaguzi chini ya TRA?
Kama ndivo nijipange make nimeona wanadai vitu wanavyoangalia sana ni tairi, oil kuvuja, taa nk? Mwenye ABC anisaidie. Na endapo kuna gharama za ziada, mwanzo nilifikiria kuvuka nayo moja moja nilipie kibali cha muda kwamba naenda halafu narudi nayo Zanzibar.
Nikishafika bara na gari ikiwa nyumbani tayari ndo nianze mchakato wa kusajili. Lakini naambiwa haiwezekani