msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Waungwana niliangiza gari toka Japan,, gari imefika wiki hii na documents pia ila tatizo ni kuwa Appraisal and inspection certificate haziko included, nimewasiliana na seller kasema hatukubaliana hili,, so gari iko hapa nifanyeje?? wazoefu wa vehicle importation msaada please