musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Wasalaam
Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma[emoji20] Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna.
Hali hii iliniacha kwenye fedheha na simanzi, japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake, nadhani alinihurumia pia, na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena, lakini hali hii imeniumiza sana gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu.
Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu. Mnatumia njia gani kuwasha gari na kuwaka punde tu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi.
Asanteni naomba kuwasilisha
Pia soma: Mrejesho: Gari liliwaka sijasimama sehemu...abiria analalamika