Kafanyie diagnosis. Kuna sababu 100s zinasosababisha gari isiwake.Wakuu habari zenu...
Gari langu juzi nimeshusha giabox kwenda kuziba palipotoboka, baada ya kurudisha giabox gari imegoma kuwaka... Ikiwashwa injini inazunguka ila inakataa kuchanganya... Nimejaribu kuboost battery na kuwasha kwa kutumia battery ya gari nyingine lakini injini imekataa kuchanganya
Naombeni msaada wenu nini tatizo? Maana mafundi niliowapa wanazidi kunitoza fedha tu... Matatizo hayaishi tatizo likipona linakuja tatizo lingine...