Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Nina gari ndogo Toyota Engine 1ZZ VVTi kuanzia 2021 August ilikuwa ikinisumbua sana. Engine ilikuwa ni full kelele ukiwasha, ukikanyaga mafuta kidogo tu ni krrarrrrrrr kama zote.
Niliisha peleka kwa mafundi 3 tofauti but tatizo likawa linazidi. Fundi wa mwisho akaniambia itakuwa inafanya kazi but itakukera tu utabidi uvumilie tu. Nimeenda nayo hivyo zaidi ya miezi mi 4. Kula mafuta sana, inamaliza oil sana, kelele kwa engine, yaani hakuna raha kabisa.
Kuna jamaa yangu yeye anaye fundi wake sasa kuna siku akawa anamsifia sana ikabidi nimuombe anipatie namba zake. Baada ya kumuona jamaa akaichukua na kuifanyia uchunguzi wa kina.
Gari imetengenezwa imerudi kama imetoka Japani. Testing zote tayari. Sasa hapa nataka nianze safari nione itakuwaje. Ila matengenezo yanahitaji pesa aisee maana vitu vingi vimenunuliwa vipya.
Hapa nina amani sana.