Gari ina move kwa gear namba tatu namba moja na mbili hazifanyi kazi

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,764
Reaction score
7,758
Msaada gari aina ya gx100 ina move kwa gia namba tatu na kwenye mipando inakosa nguvu nifanye nini?
 
Peleka kwa fundi Magari.We unadhani kuna nini tena hapo cha kufanya?

Asante lakini nimeenda kwa mafundi wakasafisha filter ya hydraulic na kubadirisha hydraulic lakini hakuna kitu
 
ni gari gani nawe unapatikana wapi nataka nikupatie fundi

Back
Top Bottom