impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,764 Reaction score 7,758 Aug 1, 2018 #1 Msaada gari aina ya gx100 ina move kwa gia namba tatu na kwenye mipando inakosa nguvu nifanye nini?
GuDume JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 6,651 Reaction score 14,337 Aug 1, 2018 #2 Peleka kwa fundi Magari.We unadhani kuna nini tena hapo cha kufanya? impongo said: Msaada gari aina ya gx100 ina move kwa gia namba tatu na kwenye mipando inakosa nguvu nifanye nini? Click to expand...
Peleka kwa fundi Magari.We unadhani kuna nini tena hapo cha kufanya? impongo said: Msaada gari aina ya gx100 ina move kwa gia namba tatu na kwenye mipando inakosa nguvu nifanye nini? Click to expand...
Nzihikwetu New Member Joined Jul 25, 2018 Posts 3 Reaction score 2 Aug 1, 2018 #3 Badilisha clutch disc
That Gentleman JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,215 Reaction score 3,678 Aug 3, 2018 #4 Pia check na gear box mkuu.
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,764 Reaction score 7,758 Aug 3, 2018 Thread starter #5 GuDume said: Peleka kwa fundi Magari.We unadhani kuna nini tena hapo cha kufanya? Click to expand... Asante lakini nimeenda kwa mafundi wakasafisha filter ya hydraulic na kubadirisha hydraulic lakini hakuna kitu
GuDume said: Peleka kwa fundi Magari.We unadhani kuna nini tena hapo cha kufanya? Click to expand... Asante lakini nimeenda kwa mafundi wakasafisha filter ya hydraulic na kubadirisha hydraulic lakini hakuna kitu
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,764 Reaction score 7,758 Aug 3, 2018 Thread starter #6 Nzihikwetu said: Badilisha clutch disc Click to expand... Mafundi wazuri kwa dsm wanapatikana wapi?
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,764 Reaction score 7,758 Aug 3, 2018 Thread starter #7 That Gentleman said: Pia check na gear box mkuu. Click to expand... Mafundi ni wababaishaji kila nikienda ni kisingizio hydraulic na wanabadilisha lakini hakuna jipya
That Gentleman said: Pia check na gear box mkuu. Click to expand... Mafundi ni wababaishaji kila nikienda ni kisingizio hydraulic na wanabadilisha lakini hakuna jipya
GuDume JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 6,651 Reaction score 14,337 Aug 3, 2018 #8 ni gari gani nawe unapatikana wapi nataka nikupatie fundi impongo said: Asante lakini nimeenda kwa mafundi wakasafisha filter ya hydraulic na kubadirisha hydraulic lakini hakuna kitu Click to expand...
ni gari gani nawe unapatikana wapi nataka nikupatie fundi impongo said: Asante lakini nimeenda kwa mafundi wakasafisha filter ya hydraulic na kubadirisha hydraulic lakini hakuna kitu Click to expand...