gari inagonga kwa chini kwenye miguu

gari inagonga kwa chini kwenye miguu

NUNEZ DIAZ

Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
85
Reaction score
115
habari wakuu
gari yangu naisikia inagonga gonga kwa chini hasa nikipita kwenye barabara vumbi, ila kwenye lami sisikii ikigonga shida yaweza kua nini, gari ni nissan juke
 
habari wakuu
gari yangu naisikia inagonga gonga kwa chini hasa nikipita kwenye barabara vumbi, ila kwenye lami sisikii ikigonga shida yaweza kua nini, gari ni nissan juke
Shida ni either Ball joint, Stabilizer Bushings. Katatue hayo kwanza
 
Back
Top Bottom